Mwakilishi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Rutunda Boniface (wa pili kushoto) akiwa katika mstari tayari kwa ajili ya kuanza mbio za baiskeli za Kilomita 15 katika michezo ya Mei Mosi inayoendelea mjini Moorogoro.
Rashid Habib Rashid wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kushoto akipambana na mpinzani wake kutoka Ofisi ya Rais katika mchezo wa karata, ikiwa ni sehemu ya michezo ya Mei Mosi inayoendelea mjini Moorogoro. (Picha na Rodney Thadeus wa AICC).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...