Tamasha la ZIFF limetangaza kuongezwa muda kwa wadau waandishi wa filamu  za Kiswahili. Shindano la skripti za filamu ndefu (feature film) katika lugha ya Kiswahili kwa ajili ya Chaneli ya ZUKU limeongezewa muda hadi tarehe 30 Aprili.

Tafadhali tembelea tovuti ya ZIFF 

Washindi 5 watapata zaidi ya Tsh 20millioni ili kutengeneza filamu zao baada ya kuchaguliwa na kupigwa msasa na magwiji wa uandikaji filamu toka Tanzania na Uingereza Martin Mhando, Nick Broomfield na Marc Hoeferlin wakati wa Tamasha la ZIFF June 2014.

Martin Mhando ni mtengenezaji wa filamu ya Maangamizi na mwalimu huko Australia, wakati Nick Broomfield ni mtengenezaji wa filamu kama Biggie and Tupac. Marc Hoeferlin ametengeneza filamu ya Albino United

Zanzibar International FilmFestival

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...