Mshambuliaji wa timu ya Yanga , Hamis Kiiza (kulia) akiwania mpira na beki wa timu ya Simba, Nassor Masoud, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1 Simba.
Mshamuliaji wa pembeni wa timu ya Yanga,Simon Msumva (kulia) akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya Simba, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1 Simba.
Mshambuliaji wa timu ya Yanga Didier Kavumbagu (katikati) akiwatoka mabeki wa timu ya Simba katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo.hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1 Simba.
Wachezaji wa timu ya Yanga,wakishangilia goli lao la kusawazisha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mbona hii habari imekaa ki yanga yanga tuu...

    ReplyDelete
  2. Mwandishi wa hii habari ni yanga tupu

    ReplyDelete
  3. hahahaahhahaha

    ReplyDelete
  4. hAYA NDIO MATATIZO YA TIMU AMBAYO LIGI NZIMA INAPANIA KUIFUNGA YANGA TU NA MATOKEO YAKE INAISHIA KUPATA SARE HUKU IKIFUNGWA MECHI SITA NA TIMU NYINGINE KWENYE LIGI HIYO HIYO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...