Watawa wa kanisa Katoliki Parokia ya Makole Dodoma, Sista Irene Nikobiba wa pili kushoto akiwa na mwenzake sista Conchessa Kokutangaza akimwelekeza jambo kwa mkono mhe.Louis Majaliwa(kulia) na Mhe Sylvester Mabumba walipokutana katika viwanja vya bunge leo.Ukumbi wa Bunge upo eneo la  Makole
nkamia_4ff82.jpg
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,ambaye pia ni  Waziri wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia (kulia) akijadiliana jambo  na Madaraka Nyerere ambaye ni mtoto wa Baba wa Taifa,  Mwalimu Julius Nyerere katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. Kushoto ni mjumbe wa Bunge hilo, Leticia Nyerere.
gmaa_714c7.jpg
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambaye pia ni  Mwanasheria Mkuu wa Serikali, JajiFrederick Werema (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe wa Bunge hilo,  Shamsi Vuai Nahodha (katikati) na kulia ni  Dk. Tulia Akson mara baada ya kikao cha jana asubuhi.
picha_ya_pamoja_53c13.jpg
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro wakiwa katika picha ya pamoja na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na mwanasiasa mkongwe, mzee Kingunge Ngombale  Mwiru na mjumbe wa Bunge hilo Juma Njumayo aliyevaa mewani mweusi(kulia) baada ya mwanasaiasa huyo.
(Picha na Magreth Kinabo) (FS)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...