Taswira za Uhamiaji House, jengo la Idara ya Uhamiaji ambamo shughuli zote za mambo ya uhamiaji zinafanyika maeneo ya Kurasini, wilaya ya Temeke, (nyuma ya Chuo cha Diplomasia), jijini Dar es salaam. Awali shughuli za uhamiaji zilikuwa zikifanyika katika jengo la Wizara ya Mambo ya Ndani katikati ya jiji.
Home
Unlabelled
Idara ya Uhamiaji yahamishia shughuli zake zote kwenye jengo jipya Kurasini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mbona walishahamisha siku nyingi? Miaka miwili iliyopita nilihitaji huduma zao na ilkuwa kurasini.
ReplyDeletekero ya pale hakuna car park. barabara imekuwa na vurugu kweli, gari zajisimamia barabarani ovyo. wakazi wa mtaa wa Loliondo wanapata shida sana kutoka na kuingia majumbani kwao. unawekaje ofisi kubwa kama ile bila maandalizi? kuna kampuni iko pale inakusanya ushuru wa kupaki barabarani bila hata aibu!!
ReplyDeletePamoja na Uhamiaji kuwasili kamili Makao Makuu Mapya je Vishoka wapo?
ReplyDeleteN abei ya Pasipoti sasa ni 'LAKI NGAPI'?
Je, kama nilivyo sikia tuna mpango wa kingiaza ''Biometric Passport Version'' yaani Pasi zinazotoa utambuzi wa asilia za Kibaolojia kama ule mfumo wa National ID wa NIDA je zityaanza kutoka lini?, na hapo Pasipoti itakuwa Milioni ngapi? !!!