Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe akiwakaribisha waannchi katika futari aliyoandaa kwa ajili yao katika eneo la Ikulu wilayani Mwanga.
Waziri wa Maji Prof,Jumanne Maghembe akizungumza na wananchi  alipowaalika kwa ajili ya Futari aliyoandaa kwa ajili yao eneo la Ikulu wilayani Mwanga. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...