Mfalme wa nyimbo za asili nchini Tanzania Costa Siboka, Baada ya kufanya kufuru na kuvunja Rekodi katika Miji ya Mwanza, Geita,Visiwa vya Ghana na Ukerewe Sasa anatarajia kumalizia ziara yake katika Miji ya Bunda,Bariadi,Shirati,Tarime , Butiama na Dutwa.Shoo hizo zitafanyika tarehe 22 Septemba 2014 mpaka tarehe 30 septemba 2014.Mfalme Siboka akiwa na kundi lake ametamba na kusema yeye in jeshi la Mtu mmoja...Hakunaga shiiida, Vuta raha Barimi tumpokee Mfalme.Siboka yupo katika utambulisho WA nyimbo yake mpya Engele yange aliouimba kwa lugha za makabila manne.Kisukuma,Kihaya,Kikerewe,Kijita na Kikurya.
Home
Unlabelled
Costa Siboka aendelea na ziara yake kanda ya ziwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Inapendeza sana na ni fakhari kubwa sana kuzienzi na kuziendeleza nyimbo zetu za asili. Mbali ya kuwa ni mojawapo ya burudani kama zilivyo nyingine, lakini pia inatambulisha tamaduni, mila na desturi za jamii au kabila husika, kitu ambacho ni kizuri kujivunia. Hongera sana Costa Siboka, Umenifanya nimkumbuke marehemu Mr. Ebo (R.I.P.) na ule wimbo wake..Mi Mmasai...
ReplyDelete