Karibu sana katika 2nd anniversary tangu kurejea kwa THE LEGEND DJ JOHN DILLINGA MATLOU jomamosi hii tarehe 1/11/2014 ndani ya isumba lounge (jollies club). Ratiba zitaanza saa 3 usiku, kiingilio 15,000/- kabla ya saa 6 usiku na 20,000/- baada ya muda huo. Tulianza pamoja njoo tutimize  pamoja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...