Ndugu, Jamaa na Marafiki,

Familia ya ndugu Joel & Janeth Mburu inasikitika kuwataarifu juu ya  msiba wa ghafla wa mama mzazi wa Janeth na Godson  Gabagambi uliotokea leo hii asubuhi-Karagwe, nchini Tanzania.Mipango ya mazishi inaendelea kufanyika huko Karagwe, Tanzania  .

Kwa marekani, Msiba upo nyumbani kwa Ndugu Joel & Janeth Mburu, Minnesota  na watu wanakutanika nyumbani hapo kuanzia leo  kwa anwani ifuatayo:-
5250 Villa Way
Edina MN 55436.

Kwa Uingereza ,msiba upo kwa Peter Gabagambi ;
61 Kyngston Road,West Bromwich,
West Mudlands,
B 71 4DX UK.
Tel:044-704-03437141.
Kama ilivyo desturi yetu,tunaomba kujumuika na wenzetu na kuwasaidia kwa hali na mali katika kipindi hiki kigumu na kuwawezesha kuwahi mazishi Tanzania.

Unaweza kuweka mchango wako kwa njia ya wire au direct deposit kwa :-
Joel Mburu// Janeth Gabagambi.
Wells fargo Bank
Route number:091000019.
Account # 3750542908.

Kwa mawasiliano zaidi,unaweza kuwasiliana na wafuatao:-
Joel & Janeth Mburu 952-217-0265 au 952-686-4392.
Godson & Darlin Gabagambi-763-458-8816
Ruth 44-7730334219
Danstan Gabagambi 447440098294
Peter Gabagambi 4470403437141.
Meshack Balira 763-464-3940
Jackson Mollel 651-334-0163.

Bwana ametoa,Bwana ametwaa,Jina la Bwana Libarikiwe,

Kwa niaba ya familia ya Gabagambi,
Joel & Janeth Mburu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...