Balozo Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga na Dkt. Asghar Farshad wa hospitali ya Iran huko Dubai wakitia saini makubaliano ambapo hospitali hiyo imetoa ofa ya punguzo la asilimia 40 ya malipo ya matibabu kwa Mtanzania yeyote atayekwenda kutibiwa hapo Iranian Hospital Dubao
 Balozo Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga na Dkt. Asghar Farshad wa hospitali ya Iran huko Dubai wakibadilishana hati za makubaliano ambapo hospitali hiyo imetoa ofa ya punguzo la asilimia 40 ya malipo ya matibabu kwa Mtanzania yeyote atayekwenda kutibiwa hapo Iranian Hospital Dubao
Balozo Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga na Dkt. Asghar Farshad wa hospitali ya Iran huko Dubai wakionesha hati za  makubaliano ambapo hospitali hiyo imetoa ofa ya punguzo la asilimia 40 ya malipo ya matibabu kwa Mtanzania yeyote atayekwenda kutibiwa hapo Iranian Hospital Dubao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huyu kijana anapenda kuonyesha kazi zake!!!

    ReplyDelete
  2. Mkataba umesainiwa. Hakuna 'details' za jina la hospitali wala huduma wanazo toa.. Ni vyema na hilo lingewekwa hadharani. Itapunguza umbali wa kusafiri kwenda India

    ReplyDelete
  3. Sasa mkuu hujuu kusoma au...., imeanfikwa Iran Hospital Dubai , ni hospital kubwa na huduma zake nzuri saana na mabingwa wa magonjwa yote

    ReplyDelete
  4. Labda naweza kuokoa maisha ya WaTanzania.Naona suluhisho la kudumu ni kuwekeza huduma za afya nchini na sio kukimbilia India na Dubai...soma hii...

    Iranian hospital Dubai.....worst hospital with worst surgeons

    Dr Tabari - Mohamad Reza...was the doctor who did my surgery the surgery was nose surgery ..the staff was so ignoring and so rude ...after the surgery i had problems with breathing ..bleeding ..and my eyes were black plus the shape of my nose is badly outshaped ...whole shape is desroyed and now it is so ugly... and it is still after 5 months of the surgery...i have lost every thing ...my life is a mess now ..i was a 1000 times better than this befor ethe surgery ...the doctor started abusing mw with rude words when i came back to him " saying that nothing can be done get the hell out of here plus abused me a lot" ...he was so opposite and friendly before the surgery ...please please my life is destroyed and i dont want any ones else life to be destroyed ...dont ever think of going to this hospital for anything and espically ti this dr Tabari - Mohamad

    ReplyDelete
  5. Tuimarishe za kwetu hapa nyumbani. Wa Tanzania wangapi wata afford kwenda kutibiwa Dubai hata kwa punguzo la 70%?

    ReplyDelete
  6. Tuimarishe kweli zetu nchini. Hao mabalozi waachane na hiyo ten au twelve au fifteen%.

    Warioba anaseka hizo % ni zawadi kwa umma ziwekwe kwenye hazina kwa ajili ya maendeleo; sio zao kibindoni!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...