Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu Mkuu wa UVCCM Sixtus Mapunda wakitazama mazoezi ya mwisho ya Chipukizi hao
Mshika bendera ya CCM kwenye kikosi cha Bendera cha Gwaride la Umoja wa Vijana wa CCM, Sharif Mohammed na wenzake wakipita kwa ukakamavu mbele ya jukwaa kuu wakati wa mazoezi ya mwisho ya gwaride na halaiki kwa ajili ya Kilala cha Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yanayofanyika kesho Kitaifa kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma
Vijana wa Chipukizi wa CCM wakionyesha ukakamavu wakati wa mazoezi yao ya mwisho leo kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea
Vijana wa Chipukizi wa CCM wakionyesha ukakamavu wakati wa mazoezi yao ya mwisho leo kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea
Vijana wa Chipukizi wa CCM wakionyesha ukakamavu wakati wa mazoezi yao ya mwisho leo kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea.
La! Jamani tafutieni viatu hawa vijani. Nini lakini hivi???
ReplyDeleteWatoto wanapiga kwata bila viatu??!!! Hii imekaaje! Waheshimiwa wanafurahi tu juu ya jukwaa wala hawaoni kuwa hii haikukaa sawa. Kweli tuna safari ndefu saana. Mwaka 2015 Maadhimisho ya kitaifa CCM, WATOTO WANAGONGA ARDHI MIGUU PEKUPEKU!
ReplyDeleteDisappointed Tanzanian.
Mbona hawa vijana hawana viatu
ReplyDelete