Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (kulia), akijadili jambo na Mhe. Ludovick Mwananzila, Mkuu wa Mkoa wa Tabora alipotembelea Ofisi ya Mkoa wa Tabora alipokuwa katika ziara yake ya kikazi ya kutembelea Mahakama mkoani humo.
Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (kulia), Mhe. Ludovick Mwananzila, Mkuu wa Mkoa wa Tabora (katikati), Mhe. Jaji Amir Mruma, Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora (kushoto), wakitoa nje ya jengo la Ofisi ya Mkuu wa Tabora, mara baada ya Mhe. Jaji Mkuu na ujumbe alioambatana nao kumsalimia Mkuu huyo wa Mkoa.
Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (katikati), Mhe. Jaji Amir Mruma, Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora (wa pili kushoto), Mhe. Sam Rumanyika, Jaji wa Mahakama Kuu,Kanda ya Tabora (wa pili kulia), Mhe. David Mrango, Jaji wa Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora (wa kwanza kulia),na Mhe. Jaji Leila Mgonya, Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora (wa kwanza kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Mahakama ya Mkoa wa Tabora. (Picha na Mary Gwera, Mahakama)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...