Na Andrew Chale
Bonanza kubwa la Nyama ya kuku ‘’Chicken Wings’ linaendelea muda huu huku watu mbalimbali wameanza kumiminika marafiki na familia mbalimbali leo  Februari 28, ndani ya Azura Beach Club, Kawe, Jijini Dar es Salaam.
Akieleza hilo muda huu haapa katika viwanja ghivi linapoendelea Bonanza hili la Chicken Wing, Bonanza & Family oUT', Mkurugenzi Mtendaji  wa kampuni ya Jaunt Africa Ltd, Acquiline  Mlulla waandaji wa Bonanza hilo  Amesema watu mbalimbali wameanza kujitokeza tokea asubuhi huku wakifurahia vyakula, vinywaji na muziki bila kusahau nyama safi ya kuku ambayo inapamba Bonanza hili kwa leo.
“Bonanza la ‘Chicken Wings,  ni  la kipekee kwani si la kukosa kabisa leo Februari 28,  kwa kiingilio cha sh 10,000 kwa watu wazima na sh 4,000 kwa watoto. mlango tiketi zote zinapatikana. ni kuanzia sasa hadi usiku" alieleza Acquilina Mlulla.
Mtandao huu utaendelea kukuletea matukio mbalimbali hapo baadae.Kwa muda huu michezo mbalimbali inaendelea ikiwemao watoto kufurahia michezo ya swiming pool, castle camp, muziki na matukio ya ‘surprise’ kwa anayefika.
Bonanaza hilo limedhaminiwa na Jaunt Africa Ltd, Dodoma Wine, Hot Spot Magazine, Coca- Cola, Michuzi Media Group na wengine wengi.
For updates or to find out more about CHICKEN WINGS BONANZA, please contact us at: +255 755 048 362 or +255 658 289 737 Email: info@jaunt-africa.com  or SKPE: acquiline.mlulla

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. I'm on the way there. I cant wait too see kuku..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...