Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mapokezi ya nakala za katiba inayopendekezwa na maendeleo ya usambazaji wake kwa wananchi Mkoani Dodoma mapema leo.
Waandishi wa Habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma (hayupo pichani) wakati akiwasilisha taarifa ya mapokezi na usabazaji kwa wananchi wa Nakala za katiba inayopendekezwa Mkoani Dodoma mapema leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...