Afisa Mkaguzi wa Tume ya Ushindani(FCC), Michael David akizungumza na waandishi wa habari kwenye Kituo cha Polisi jijini Arusha baada ya kufanikiwa kukamata Simu bandia 215 za mikononi na vifaa vingine vyenye jina la Samsung wakati sio halisi.
Baadhi ya Simu,Chaja na mifuniko yenye nembo ya kampuni ya Samsung vilikamatwa kwenye maduka mbalimbali jijini Arusha.
Afisa Mkaguzi wa Tume ya Ushindani(FCC), Michael David akionesha moja ya bidhaa bandia zilizokamatwa leo.Amewataka wananchi kununua bidhaa halisi kwa Mawakala waliohidhinishwa ili kuepuka madhara ya kiafya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. MsemaKweliMarch 28, 2015

    Uonevu tu, mlikuwa wapi wakati hizi bidhaa zinaingizwa nchini? Hawa ni wafanyabiashara wadogo, watajuaje hizi bidhaa ni feki? Wakuwadhibiti ni waagizaji na kuhakikisha kuwa hizi bidhaa siingie nchi. Sio kwenda sokoni na kuanza kuchukua bidhaa toka duka la mtu. Utamaliza maduka managapi nchi nzima??

    ReplyDelete
  2. Vinawezaje kuingia nchini km si rushwa? Anyway tunahitaji wafanyabiashara wenye misingi midogo Na ya kati nao waweze kufanya biashara wakiwa huru Na uhakika wa biashara Zao bila kuogopa mkono wa pembeni unaotolewa Na wafanyabiashara wenye misingi mikubwa juu ya baadhi ya wakaguzi ktk kitengo husika cha fcc kwa ajili ya kuwaharibia jina wafanyabiashara wadogo.ktk nchi zetu hata si ya ajabu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...