Home
Unlabelled
yale yaleee...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ayayayayayaya! lo! masikio dawa. Hayasikii, hayaguswi wala hayaambiliki. Ee Mungu wewe pekee tu ndiye wa kuheshimiwa. Uwafikishe salama wasafiri wetu.
ReplyDeleteserikali isigombane na hawa madereva iwaphase out kwa kuandaa wasomi walionolewa na matajiri wapwewe masharti ya kuajiri ama hawa wana akili sawa na wanyama wa porini.ajali zote za hii nchi zinazuilika
ReplyDeleteHaya madereva mapumbavu halafu hayataki kwenda shule!
ReplyDeleteAjali hazitokwisha mpaka abiria nao wajitolee kukemea madereva wakiona mwendo si wa kawaida wajue kufika si muhimu kuliko uhai wao
ReplyDeleteHii ni hatari halafu yakitokea yakutokea tuanze kuilaumu serikali
ReplyDeleteKwa mtaji huu, kusoma kila baada ya leseni kuisha ni muhimu. Hata kwa kila mwezi wasome tu iko siku wataelewa.
ReplyDeleteHII MIDEREVA HAINA AKILI NDIO MAANA INAGONGANA USO KWA USO
ReplyDeleteKamanda Mpinga upoooo??????? Hapo ushahidi wa kila kitu unacho....
ReplyDeletePesa mbaya. hapo akidakwa anahonga anaendelea na mauaji
ReplyDeleteAskari trafiki wote hata wanawake wana vitambi. Kwa nini??
ReplyDeleteThere is a solution.
ReplyDeleteThe bus has a registration number, the govt should pass a law that a bus with a photographed number recorded breaking the law should be confiscated, period.
This is good point video technology can help to nail down all who break the law this will make owners take full responsibility of hiring drivers
DeleteAbilia mpo humondani ya gari au ! Gari inaendeshwa tupu? Mkemeeni dereva huyo , huyo dereva sijui ameingiwa na pepo wawapi huyo , sijui kichwani kwake kumejaa nini huyo , au amekula maharagwe ya wapi huyo ! Madereva wa mabasi hatuwaheshimu tena hao ! Lazima serikali iwakalIshe darasani hao !
ReplyDeleteAbiria watafanya mini ? Wabongo walivyo waoga na mbumbumbu wa haki zao Kama wateja. Ukianzisha kumkemea dereva utabaki peke yako, wengine wrote watakuwa kimya au dhidi yako. Ndivyo tulivyo, tunasubiri wafadhili wake kubadilisha hii halo. We Barbara zilizobuniwa miaka ya mkoloni ndio hizo hizo zinatumika mpaka Leo, hats hatujafikiri kuongeza upana, lakini tumeongeza idadi ya magari zaidi ya Mara milioni kadhaa. Kila kitu serikali, je wewe mwananchi wa nchi hii umefanya nini kubadilisha hali hii ?
DeleteDu ajali hiyo
ReplyDeleteKuovertake kupo ila kinachotakiwa ni dereva kuzingatia kanuni za kuovertake.
ReplyDelete