Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2015

    Mashariki

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2015

    Ni wazo zuri sana , je mumejiandaa kivipi kuwa tofauti na trade mission zingine ambazo watu wametoka Tanzania wakitegemea kukuta wawekezaji wanawasubiri na badala yake hawakuonana na mtu yoyote. I support your ideas ni nzuri ila jipangeni sana. Munaweza kunipigia simu at 240 505 6159-ask for Mwaki. Nimekuwa sana katika hizi trade mission ili tufanye tofauti na mwanzo.

    ReplyDelete
  3. Ndugu Anonymous wa pili hapo juu, mimi niko huku Marekani. Nami pia nina ushauri, na nina uzoefu wa kutoa ushauri kwa vikundi, vyuo, taasisi, makampuni hapa Marekani, kwa upande wa athari za tofauti za tamaduni katika dunia ya utandawazi wa leo.

    Ninapangia kushiriki mkutano huu, badli yeyote akitaka kuwasiliana nami, aniandikie ujumbe, africonexion@gmail.com, simu (507) 403 9756.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...