Katibu wa Bodi ya Taasisi ya Mafunzo na utafiti Tanzania Kassim Rashid akizungumza na baadhi  ya waandishi wa habari  hawapo pichani juu ya kuwapa taarifa kuhusu shughuli ya uzinduzi wa  mafunzo ya ujasiriamali yatakayofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma mnamo  5 Agost 2015 ambayo yataendeshwa na wakufunzi kutoka kampuni ya mafanikio ya Vijana Juniour  Achievements Tanzania na (TATROC.) kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Juniour Achievements Tanzania na (TATROC.) Maria Ngowi kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za (TATROC.) zilizopo Quality Plaza  barabara ya Nyerere leo Jiji Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mkuu wa Juniour Achievements Tanzania na (TATROC.) Maria Ngowi akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya uzinduzi huo vijana watanzania kuwa na elimu ya Ujasiriamali Taifa letu linaweza kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo na kiuchumi  kwani wengi  wa vijana watakuwa na shughuli za kufanya kuwawezesha kupata maisha bora kushoto ni Katibu wa Bodi ya Taasisi ya Mafunzo na utafiti Tanzania Kassim Rashid kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za (TATROC.) zilizopo Quality Plaza  barabara ya Nyerere leo Jiji Dar es Salaam
Baadhi ya waandishi wa habari walio hudhuria kikao hicho kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za (TATROC.) zilizopo Quality Plaza  barabara ya Nyerere leo Jiji Dar es Salaam Picha na Emmanuel Massaka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...