Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasili na kuwapungia mkono wananchi katika viwanja vya jangani.Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasili na kuwapungia mkono wananchi katika viwanja vya jangani.Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akipokea kadi kutoka kwa  aliyekuwa mgombea wa udiwani wa Chadema Kata ya Mlowa Barabarani baada ya kujiunga na chama hicho.Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akipokea kadi kutoka kwa aliyekuwa mgombea wa udiwani wa Chadema Kata ya Mlowa Barabarani baada ya kujiunga na chama hicho.
Bi. Samia Suluhu kulia akimtambulisha mgombea ubunge wa jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde jimboni humo.Bi. Samia Suluhu kulia akimtambulisha mgombea ubunge wa jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde jimMgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu (kulia) akiwatambulisha mgombea ubunge Jimbo la Kibakwe, George Simbachawene (katikati). Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu (kulia) akiwatambulisha mgombea ubunge Jimbo la Kibakwe, George Simbachawene (katikati).boni humo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...