Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli pamoja na mgombea ubunge wa jimbo la Same Mashariki Mama Anne Kilango wakiwasalimu wakazi wa Same waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za CCM Ndungu.
  Wakazi wa Same Mashariki wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli.
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akimvalisha fulana mmoja wa wafuasi wa CHADEMA alieamua kurejea chama cha CCM jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni ndani ya jimbo la Same Mashariki
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Ndungu kweye mkutano wa kampeni Same Mashariki,jioni ya leo.
 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwa sambamba na Mgombea Ubunge wa jimbo la Vunjo,Innocent Shirima wakiwapungia wananchi walipokuwa wakiwasili kwenye mkutano wa kampeni mjini himo.
 Wakazi wa Himo wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli.
  Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia CCM Innocent Shirima.
  Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Mwanga Profesa Jumanne Maghembe kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika Mwanga.
 
 Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Same Magharibi kwenye uwanja wa Kwasakwasa ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa katika uongozi wake atahakikisha kodi ndogo ndogo zinaondolewa kwa wafanyabiashara wadogo.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kaka Pole na kazi.

    Naipenda saana blog yako.

    Hivi karibuni naoma unapenda saaa kutumia panoramic technique katika picha ambazo ni za mikusanyiko..

    Kiasi Fulani naona inapotosha na kama bado unapendelea tumia hii technique itumie kwenye land -scape pictures.

    Asante kwa kuufuatilia kwa karibu ushauri huu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...