HUU ni uchambuzi wa Habari za Magazeti toka vituo mblimbali vya Televisheni October 9, 2015

Ch 10
Dk.Slaa aibuka tena. Lowasa aota kuibiwa kura. Pata habari kemukemu za kisiasa katika magazeti ya leo;  https://youtu.be/wwJ7xOz3U1U

Tbc
Lowassa, Kingunge moto Arusha. Magufuli amlipua Mbatia, ampigia debe Mrema. Pata habari kutoka magazetini hapa Simu.tv; https://youtu.be/m8TTuFjk5rk 

STAR TV
Simbachawene asema madini yaliyochimbwa ni asilimia 10. Vigogo wa NCCR kumng’oa Mbatia. Fahamu yalichoandika magazeti ya leo;  https://youtu.be/AtgLYLobpHk

AZAM TV
Kerr avujisha siri pointi sita Mbeya.Pluijm amtaja mrithi wa Mkwasa Yanga. Ni katika magazeti ya michezo ya leo Octoba 9.2015;  https://youtu.be/sB4iVdrXiO8

MLIMANI TV
TANESCO yasimamisha uzalishaji wa umeme Mtera. UPDP wazindua kampeni kwa aina yake. Fuatilia habari  kwa kina katika magazet ya leo; https://youtu.be/ack8WAebMsw

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...