Kamera ya mulika "Vijipu Upele"  leo imeinasa taswira hii ya vijana wanaojihusisha na shughuli ya ubebaji taka katika ameneo ya makazi ya watu, wakiumwaga uchafu huo katika dampo kivuli eneo la Kijitonyama kando ya Barabara inayoelekea Sayansi kutokea Tandale kwa Alimaua, Jijini Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 04, 2016

    Wahusika safisha hapo na uweke kibao usitupe uchafu hapa kutoka kwenye mamlaka ya jiji.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...