Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi na naibu waziri wake Mhe. Angelina Mabulla wakifuatilia hoja za wabunge wa mapitio makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya Aridh kwa mwaka wa fedha 2016/17.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akijibu hoja bungeni wakati wa mapitio ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya Aridh kwa mwaka wa fedha 2016/17
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,  Mhe. Angelina Mabulla akipongezwa na watendaji wa Wizara nje ya ukumbi wa bunge baada ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kupitishwa na bunge kwa mwaka wa fedha 2016/17.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...