Uchafu wa aina mbalimbali ukiwa umeziba kabisa mitaro pembeni mwa barabara ipitayo pembzoni mwa uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo. Uchunguzi unaonesha kuwa karibu mitaro ya mji mzima wa Dodoma imezibwa hivyo.
Hatukufanya juhudi za kuwatafuta wahusika kwani kama mtu anajua wajibu wake kwa nini akumbushwe?? Na kama hajui wajibu wake na anafanya kazi kwa mazoea....Wahusika mpo??
Ngoma inaishia hapa....
Uchafu katika mitaro uondolewe makao ili mitaro iweze kufanya kazi ya kuelekeza maji ya mvua kaa ilivyopangiwa.
ReplyDeleteDuh, Usafi Bongo kazi bado ipo sana!!!. Hopefully wahusika wanayaona haya. Good job Uncle kwa kulivalia njuga swala hili. Keep it up.
ReplyDeletemakubwaaa....juzi jumamosi si ilikuwa siku ya usafi jamani? sasa wao walifanya usafi wapi mbona inashangaza? hao viongozi wa manispaa waache kuzuga kufanya usafi wahakikishe wanasimamia kikamilifu hilo zoezi
ReplyDelete