Mh. Charles Mwijage Waziri wa Viwanda na Biashara alipotembelea  uwanja wa Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa kukagua maandalizi ya maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa (SABASABA) . Kushoto kwake ni Bw. Edwin Rutageruka Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa  TanTrade na Bw. Odilo Majengo Mkurugenzi wa Masoko WBBU. Maonesho haya maarufu kama SABASABA yanatarajia kuanza kesho Jumanne 28.6.2016
 Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Charles Mwijage akkipata maelezo kuhusu maandalizi
 Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Charles Mwijage akikagua viwanja vya maonesho
 Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Charles Mwijage akikagua banda la Karume, Pamoja naye ni Bw. Edwin Rutageruka Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa  TanTrade 
 Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Charles Mwijage akitoa maelekezo wakati wa ukaguzi huo
Mh. Waziri Mwijage akiwa katika Banda la SIDO. Kushoto kwake ni Mhandisi Omar Bakari Mkurugenzi Mkuu wa SIDO na kushoto kwake ni Bw. Edwin Rutageruka Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade.
Maandalizi ya mwisho mwisho ya Maonyesho ya 40 ya Kimataifa ya Dar es Salaam, yamepamba moto, ambapo Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, amefanya ziara ya kukagua maandalizi hayo. Pichani ni Waziri Mwijage akikagua maandalizi kwenye moja ya mabanda. Kulia ni Kaimu Mkuugenzi wa Tantrade, Edwin Rutageruka. 




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...