Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali akiwa na Magavana  wa Benki ya Dunia na Shirika la fedha la kimataifa wa Mashariki na Kusini mwa Afrika kwenye majadiliano ya kukuza uchumi katika mkutano wa MEFMI. Aliyesimama mbele ni Bi. Arunma Oteh Makamu wa Rais na Mweka hazina.
Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akiwa katika mkutano wa kamati ya maendeleo akifuatilia kwa makini majadiliano yanayoendelea katika mikutano hiyo yabenki ya dunia
 
 Ujumbe kutoka Tanzania ukimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa    serikali Dr. Servacius Likwelile katika ofisi ya Tanzania nchini Peru- Lima
 Wa pili kutoka kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Sirvacius Likwelile akisikilizwa kwa makini na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi wa pili kutoka kushoto na Bw. Said Magonya wa kwanza kulia ambaye ni Kamishna wa Fedha za Nje Wizara ya Fedha  na Bw. Bedason Shallanda wa kwanza kushoto ambaye ni Kamishna wa Sera Wizara ya Fedha
Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali na ujumbe kutoka Tanzania wakiwa katika majadiliano na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia  wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis Rene Peter Larose anayezungumza katika mikutano ya mwaka ya Benki ya dunia.  Picha Ingiahedi Mduma na Eva Valerian

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...